Skip to content
zeno
Create a Station
Explore
Religious
Music
News
Podcasts
Bible
By Genre
By Location
By Language
Download App
Opens in a new window
Toggle Sidebar
zeno
Innocent Morris
Innocent Morris
Christianity
How To
Self-Improvement
Swahili
Kujifunza Neno la Mungu, Kukua Kiroho, Uhusiano na Roho Mtakatifu, Maombi
Website
Episodes
Episodes
127
31 August 2026
ROHO MTAKATIFU NI NANI? Part 1 - Innocent Morris
Katika sehemu ya kwanza ya somo hili utajifunza kuhusu utambulisho wa Roho Mtakatifu na umuhimu wa kumjua kwa usahihi.Kwa maana kumjua Roho Mtakatifu ni hatua ya muhimu sana katika kujenga uhusiano wa karibu na Mungu na kuishi maisha ya ushindi.Mungu akubariki unapofuatilia somo hili. Usisahau ku-share ili kuendelea kupata mafundisho yatakayokujenga kiroho.Karibu sasa ujifunze somo hili.Ubarikiwe...
1 h 9 min
27 August 2026
JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 4 - Innocent Morris
Je, unahisi maisha yako ya maombi yamepoa? Je, unatamani kurudi kwenye ule uwepo na nguvu uliokuwa nayo mwanzo, au unataka kwenda viwango vingine vya juu zaidi kiroho?Katika sehemu hii ya Tatu (Part 3) ya somo hili utajifunza kwa kina siri za kurejesha na kuchochea moto wa maombi ndani yako. Maombi sio tu maneno tunayosema, ni uhai wa mwamini. Usikubali madhabahu yako ipoe!Na utajifunza zaidi...
1 h 8 min
24 August 2026
JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 3 - Innocent Morris
Je, unahisi maisha yako ya maombi yamepoa? Je, unatamani kurudi kwenye ule uwepo na nguvu uliokuwa nayo mwanzo, au unataka kwenda viwango vingine vya juu zaidi kiroho?Katika sehemu hii ya Tatu (Part 3) ya somo hili utajifunza kwa kina siri za kurejesha na kuchochea moto wa maombi ndani yako. Maombi sio tu maneno tunayosema, ni uhai wa mwamini. Usikubali madhabahu yako ipoe!Na utajifunza zaidi...
1 h 6 min
19 August 2026
JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 2 - Innocent Morris
Je, unahisi maisha yako ya maombi yamepoa? Je, unatamani kurudi kwenye ule uwepo na nguvu uliokuwa nayo mwanzo, au unataka kwenda viwango vingine vya juu zaidi kiroho?Katika sehemu hii ya Pili (Part 2) ya somo hili utajifunza kwa kina siri za kurejesha na kuchochea moto wa maombi ndani yako. Maombi sio tu maneno tunayosema, ni uhai wa mwamini. Usikubali madhabahu yako ipoe!Na utajifunza zaidi...
1 h 31 min
17 August 2026
JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 1 - Innocent Morris
Je, unahisi maisha yako ya maombi yamepoa? Je, unatamani kurudi kwenye ule uwepo na nguvu uliokuwa nayo mwanzo, au unataka kwenda viwango vingine vya juu zaidi kiroho?Katika sehemu hii ya kwanza (Part 1) ya somo hili utajifunza kwa kina siri za kurejesha na kuchochea moto wa maombi ndani yako. Maombi sio tu maneno tunayosema, ni uhai wa mwamini. Usikubali madhabahu yako ipoe!Na utajifunza zaidi...
1 h 1 min
10 August 2026
JINSI YA KUTUMIA DAMU YA YESU - Innocent Morris
Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutumia damu ya Yesu kwa kina sana. Damu ya Yesu ni silaha hatari sana ambayo Mungu ametupatia, lakini ni lazima tujifunze namna ya kuitumia kwa imani katika maisha yetu ya kila siku."Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana-Kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao; ambao hawakupenda maisha yao hata kufa."Ufunuo wa Yohana 12:11Mungu akubariki unapofuatilia somo hili....
59 min
28 June 2026
THAMANI YA DAMU YA YESU | Kwa nini Damu ya Yesu ni ya thamani sana? - Innocent Morris
Katika somo hili, utajifunza kuhusu thamani kuu ya Damu ya Yesu Kristo na kwa nini ilimwagika kwa ajili yetu. Biblia inatufundisha kwamba kupitia Damu ya Yesu tumepata msamaha wa dhambi, ukombozi, upatanisho na Mungu, na ushindi dhidi ya nguvu za giza."Katika yeye huyo, kwa damu yake, tunao ukombozi wetu, masamaha ya dhambi, sawasawa na wingi wa neema yake."Waefeso 1:7Mungu akubariki...
1 h 17 min
24 June 2026
KUSUDI LA DAMU YA YESU | Kwa nini Damu ya Yesu ilimwagika? - Innocent Morris
Katika somo hili, utajifunza KUSUDI LA DAMU YA YESU na kwa nini Yesu Kristo alilazimika kumwaga damu yake msalabani, kusudi la Damu ya Yesu linahusu matumizi ya nguvu ya kiroho ya damu hiyo ili kupata ushindi na ulinzi katika maisha ya kila siku. Misingi yake mikuu inajumuisha:Ukombozi na Msamaha: Damu ya Yesu ilimwagika ili kuondoa dhambi na kutoa mamlaka ya kushinda nguvu za giza.Ulinzi wa...
59 min
31 May 2026
DALILI SABA ZINAZOONESHA UKO KARIBU NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris
Karibu sana ujifunze somo hili kuhusu ukaribu wako na Roho Mtakatifu. Hakika somo hili litakusaidia sana kujenga ukaribu wako na Roho Mtakatifu.Ubarikiwe sana.Innocent MorrisContact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect
1 h 5 min
24 May 2026
JINSI YA KUMFURAHISHA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris
Katika somo hili, utajifunza kwa undani jinsi ya kuishi maisha yanayompendeza Roho Mtakatifu kila siku. Utajifunza mambo yanayomhuzunisha na mambo yanayomfurahisha."Wala msimhuzunishe yule Roho Mtakatifu wa Mungu; ambaye kwa yeye mlitiwa muhuri hata siku ya ukombozi."Waefeso 4:30Roho Mtakatifu anahitaji heshima, utii, na ushirika wa karibu. Kadiri unavyojifunza kumheshimu na kumtii, ndivyo...
1 h 6 min